DEREVA DARAJA LA II NAFASI 5

SIFA ZA MWOMBAJI

- Mwenye cheti cha Mtihani wa kidat cha IV,
- Wenye Lseni daraja la “C” uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa mda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali,
- wenye cheti cha majaribio ya Ufundi Daraja la II Watafikiriwa kwanza

KAZI NA MAJUKUMU
1. Kuendesha magari ya abiria na malor
2. Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitajika matengenezo
3. Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari
4. Kutunza na kuandika daftari la safari “Log book” kwa safari zote

2.3. MSHAHARA
TGS B1 - Tshs 390, 000/= hadi Tshs 489,000/=


MAMBO YA KUZINGATIA
- mwombaji awe raia wa Tanzania
- awe na umri kati ya miaka 18 hadi 45
- barua zote ziandikwe kwa mkono na ziambatanishwe na nyaraka zifuatazo
- maelezo binafsi
- nakala za vyeti vya kidato cha 4 au 6 cheti cha kuzaliwa na vyeti vya elimu ya taluma
- picha ndogo 2 passport size za hivi karibuni

transcript, testimonial results havitakubaliwa
- mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 09/03/2018
- maombi yatakayoletwa baada ya muda ulowekwa katika tangazo hayatopokelewa
- tangazo hili linapatikana kwenye tovuti ya Halmashauri www.kilolodc.go.tz

Barua zitumwe kwa

MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO,
S.L.P 2324,
KILOLO.

Deadline 9 March 2018

0 Comments: