NAFASI ZA KAZI MRADI WA MAENDELEO YA WANAWAKE INUKA


MKAGUZI WA MAHESABU

Eneo: Dar Es Salaam

SIFA ZA MWOMBAJI:
Awe amemaliza chuo chochote kinachotambulika,
Awe na cheti cha Chuo alipomaliza
Awe na cheti cha Kuzaliwa
Awe
Mtanzania
Awe na  uwezo  wa uelewa wa kazi.

VIWANGO VYA MSHAHARA
Cheti: 250,000/=
Diploma 300,000/=
Shahada 500,000/=

AFISA MRADI
Mradi wa Maendeleo ya Wanawake[INUKA]
Area: Dar Es Salaam
Position Description:
Mradi wa maendeleo ya wanawake [INUKA] Unatangazia nafasi za kazi zifuatazo:    

SIFA ZA MWOMBAJI:
-Awe amemaliza chuo chochote kinachotambulika,
-Awe na cheti cha Chuo alipomaliza
-Awe na cheti cha Kuzaliwa
-Awe Mtanzania
-Awe na  uwezo  wa uelewa wa kazi.



data-override-format="true" data-page-url = "http://www.tzjobposition.blogspot.com">



VIWANGO VYA MSHAHARA
Cheti: 250,000/=
Diploma 300,000/=
Shahada 500,000/=
Maombi yanatakiwa yafike  kabla tarehe 07/02/2014 usaili utafanyikaTarehe 12/02/2014   saa  2:30 Asubuhi   katika Jengo la CCM kata ya Manzese
GENERAL APPLICATION INSTRUCTION
BArua za Maombi zipelekwe ofisi  ya CCM Tawi la Tupendane  Mtaa waKilimani au Ofisi za CCM  Kata ya Manzese.
Au Tuma Kwa:
Mratibu wa Miradi ya maendeleo ya wanawake[INUKA]
Wilaya kinondoni.
S.L.B  55031
Dar es Salaam.
Email:angelojrem@gmail.com
Phone: +255 688 422 340
Nafasi ni Chache lete maombi haraka.

0 Comments: