data-override-format="true" data-page-url = "http://tzjobposition.blogspot.com"> |
Customer Care
Company:Neema Recruitment AgencyLocation Dar Es Salaam
POSITION DESCRIPTION:
Neema Recruitment Agency ni kampuni ya uwakala wa ajira.
Kwa niaba ya wateja wetu, kampuni inatangaza nafasi za kazi ya
CUSTOMER CARE kwa waombaji wenye sifa zifuatzo :
1. Elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
2. Uwezo wa kuwasiliana kwa lugha za Kiswahili na kiingereza.
3. Maridadi na mkarimu.
4. Waliosomea masuala ya Customer Care watapewa kipaumbele.
5. Awe anaishi Dar Es salaam, Mwanza, Arusha, Moshi, Mbeya , Dodoma, Morogoro au Zanzibar.
Wapishi (Cook & Chef )
Company:Neema Recruitment AgencyLocation:Dar Es Salaam
POSITION DESCRIPTION:
Neema Recruitment Agency ni kampuni ya uwakala wa ajira. Kwa niaba ya wateja wetu, kampuni inatangaza nafasi za kazi ya upishi kwa waombaji wenye sifa zifuatazo.
1. Elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
2. Uwezo wa kuwasiliana kwa lugha za Kiswahili na kiingereza.
3. Maridadi na mkarimu.
4. Wenye elimu na ujuzi wa masuala ya upishi watapewa kipaumbele.
5. Awe anaishi Dar Es salaam, Mwanza, Arusha, Moshi au Zanzibar.
MAJUKUMU YA KAZI :
Upishi mahotelini & majumbani.
Office Secretaries (Katibu Muhtasi)
Company:Neema Recruitment AgencyLocation:Dar Es Salaam
POSITION DESCRIPTION:
Neema Recruitment Agency ni kampuni ya uwakala wa ajira. Kwa niaba ya wateja wetu, kampuni inatangaza nafasi za kazi ya Ukatibu Muhtasi ( Secretary ) kwa waombaji wenye sifa zifuatazo :
1. Awe wa jinsia ya kike.
2. Elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
3. Uwezo wa kuwasiliana kwa lugha za Kiswahili na kiingereza.
4. Uwezo wa kutumia kompyuta.
5. Maridadi na mkarimu.
6. Awe anaishi Dar Es salaam, Mwanza, Arusha, Moshi au Zanzibar.
JINSI YA KUTUMA MAOMBI :
• Tuma maombi yako kwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency.
• Maombi yatumwe kwa njia ya barua pepe yetu ambayo ni : neemarecruitmentagency@gmail.com
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 APRILI 2014.
0 Comments:
Post a Comment