ANGAZO LA KUITWA KAZINI - HALMASHAURI YA ARUSHA




Mkurugenzi wa Jiji la Arusha anapenda kuwatangazia waombaji wafuatao waliofanya usaili wa mahojiano kuanzia tarehe 6-7.10.2014 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kuwa wamechaguliwa kufanya kazi kwenye nafasi walizoomba baada ya kushinda usaili na walioshinda wote wanajulishwa kuwa watatakiwa kuripoti kwa Mkurugenzi wa Jiji tarehe 30.10.2014  kwa ajili ya taratibu za ajira na maelekezo ya kuanza kazi. Aidha mnakumbushwa  kuwa kama ilivyokuwa imeainishwa kwenye tangazo la ajira, kazi hii ni ya mkataba na kwa sababu hiyo masharti ya kazi hii yatatawaliwa na mkataba husika na si vinginevyo.

Kwa niaba ya Halmashari ya Jiji nawapongeza wale wote walioshinda usaili huu na kupata ajira. Nawakaribisha katika utumishi wa kuwahudumia wakazi wa Jiji la Arusha.


A: NAFASI ZA MTUNZA BOHARI (STOREKEEPER)

 Bw. Richard S. Malle  S.L.P. 3033 –ARUSHA.


B: NAFASI YA AFISA MANUNUZI MSAIDIZI

1.    Bw. Kelvin L. Loiruk S.L.P. 7481- ARUSHA

2.    Bi Vinnah Luvinga  S.L.P. 456 -DAR  ES SALAAM.


C: NAFASI YA AFISA MTENDAJI WA KATA:

1.    Hilda B. Malisa S.L.P. 159- ZANZIBAR

2.    Isack L. Mollel S.L.P. 2635- ARUSHA

3.    Joel K. Israel S.L.P. 4040- ARUSHA

4.    Esther Method S.L.P.302-BUKOBA

5.    Mikidadi Mwembago - S.L.P. 2022- ARUSHA

6.    Christina Johnson         -  S.L.P. 16202- ARUSHA

7.    Ichikaeli Malisa -S.L.P. 16823 – ARUSHA

8.    Editha S. Masangia- S.L.P. 813 – USA RIVER

9.    Esther Maganza  -    S.L.P. 13379-  DAR ES SALAAM

10.Agness M. Zakaria- S.L.P. 383– BABATI

11. Freedom William - S.L.P. 55- USA RIVER

12.Upendo Mosha –   S.L.P. 70 – ARUSHA.


D: NAFASI YA AFISA USALAMA

Washindi wa nafasi hii watatangazwa baada ya zoezi la upekuzi kukamilishwa na vyombo vinavyohusika.

NB:  Kila mmoja anatakiwa kuja na vyeti vyake halisi na Matokeo (Result Slip) kwa taaluma (Academic) na ujuzi (Professional) kama ilivyotangazwa katika Tangazo la Ajira. 

Imetolewa na.


MKURUGENZI WA JIJI

ARUSHA

Related Posts: