Kwa wananchi wote , Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya
Bukoba anawatangazia wananchi ote kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
chini ya ufadhili wa MDH wametoa nafasi 2 za kazi za watunza takwimu za
UKIMWI katika vito vya kutolea huduma za afya
SIFA ZA MWOMBAJI
- awe na eleimu ya sekondari kidato ccha 4 au 6,
- awe na utaalamu katika masomo ya computer ngazi ya cheti au stashahada au astashahada ya juu
- mwenye uzoefu katika utunzaji wa Takwimu za UKIMWI (nacp, ctc2 database) atakuwa na sifa ya ziada
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
maombi yatumwe
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMSHAURI YA WILAYA YA BUKOBA,
S.L.P 491
BUKOBA
VIAMBATANISHO
- cheti cha elimu ya sekondari,
- cheti cha kuhudhuria mfunzo ya tajwa hapo juu,
- kivulicha cheti cha utunzaji stoo,
- wasifu wa muhusika.
MUHIMU
wale wote wanaopenda kutuma maomo yao wanashauriwa wawasilishe
barua zao za maombi katika ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya wILAYA
YA Bukoba
mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11 Desemba, 2017
0 Comments:
Post a Comment