NAFASI YA KAZI YA MKATABA
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Magu kwa kushirikiana na
shirika la AGPAHI natatangaza nafasi za ajira ya mkataba wa iezi 9
katika nafasi ya maafisa wauguzi wasaidizi kwenye vituo vya kutolea
huduma za tiba
NAFASI 7 ZA AFISA MUUGUZI MSAIDIZI
SIFA ZA KUAJIRIWA
- kuajiriwa wahitimu wa kidato cha 4 au 6 wenye stashahada
(Diploma) ya uuguzi b=na waliosalijiriwa na baraza la Wauguzi na Wakunga
Tanzania
MAJUKUMU
- kufanya kazi zote za kiuguzi
- kutambua matatizo ya wagonjwa
- kufanya uchubguzi sahihi wa afya ya mteja/mgonjwa ili kumsaidia
- kukusanya taarifa muhimu kutoka kwa wagonjwa/mteja ili kutoa uamuzi sahihi kuhusu afya yake
- kusimamia utakasaji wa vyombo vya tiba
- kutayarisha nursing care plans na kuzitekeleza
- kuwae;ekeza wauguzi walio chini yake
- kutathimini maendeleo ya mgonjwa/ mteja na kutoa taarifa kwa mkuu wake wa kazi
- kufanya kazi nyingine atakazo pangiwa naa mkuu wake wa kazi
anaweza kupangiwa kazi katika zahanati, ituo cha afya au hospitali ya Wilaya
KIWANGO CHA MSHARA
Tshs 600,000/= kwa mwezi
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
waombaji wote wanatakiwa kuwa silisha barua zao kwa Mkurugenzi Mtendaji wakiwa wameambatanisha
-Vyeti vya taaluma, vyeti vya shule na usajili nk
- picha ndogo ya hivi karibuni
- wasifu wa mwombaji
- mwombaji aandike namba yake ya simu
- barua zote ziandikwe kwa mkono
AJIRA
Mwombaji atakaye fanikiwa kupata ataajiriwa mkataba wa miezi 9 na
hutakuwa na subsistance allowance posho ya kujikimu wakati wa kuanza
kazi kwa mujibu wa wfadhili wa shirika la AGPAHI
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 29/12/2017 saa 9;30 aLASIRI
MAOMBI YATUMWE KWA
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU,
S.L.P 200,
MAGU
0 Comments:
Post a Comment