NAFASI 13 ZA KAZI DATA CLERK - HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu  kwa kushirikiana na AGPAHI anawatangazia nafasi za ajira kwa  makataba wa mwaka mmoja katika nafasi ya DATA CLERK kwenye vituo vya vya kutolea huduma na tiba ya UKIMWI Wilayani CTC

SIFA ZA KUAJIRIWA
- stashahada  ya Juu au Shahada ya IT, tWAKWIMU, AU UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU KWA NJIA YA KI ELEKTRONIKI
- awe na uzoefu wa mwaka 1 - 3 katika kkazi za Takwimu  (data management)
- awe na uzoefu wa takwimu za afya (Health, Data Experience)
- awe na uzoefu wa kutumia mfumo wa DHIS, EXCEL. MS ACCESS, PEI- INFO, SSP na uzoefu wa mifumo mingine itakuwa sifa ya ziada

LENGO LA AJIRA
Ni kuhakikisha mfumo wa CTC, data base unafanya kazi kwa usahihi ikiwa na pamoja na ubora wa Takwimu
i/ utunzaji wa mfumo wa CTC, data base
ii/ kuhuisha CTC data base
iii/ kuingiza takwimu za wagonjwa kila siku na kutengeneza taarifa na kuwasilisha katika ngazi husika
iv/ kurudisha faili za wagonjwa ambao hazijajazwa kwa mganga (clinical zirekebishwe)
v/ kuhakikisha kila file la mgonjwa linakuwa na fomu ya kuchunguza  ugonjwa wa kifua kikuu na magonjwa ya STI na kuhakikisha zinajazwa na mganga kila mgonjwa anapohidhuria kliniki
vi/ kutengeneza mpango kazi wa kuboresha  takwiu katika kituo husika katika mfumo wa CTC, data base na katika vyanzo vya Takwimu
vii/ kuhakikisha  matumizi sahihi ya mfumo unafanya kazi kila siku, kila waktati, kuhusisha  nati virusi kila siku
vii/ kuhakikisha unawasilisiliana na viongozi  wako kwa wakati kwaajili ya kukarabati  mfumo pindi tatizo linpotokea

KIWANGO CHA MSHAHARA
- Ths 450,000/=

MAHSRTI YA JUMLA
waombaji wote nawanatakiwa kuwasilisha barua zao kwa Mkurugenzi Mtendaji wakiwa wameambatanisha vitu vifuatavyo
-  vielelezo vya Taaluma, Vyeti na uzoefu
- picha moja ndogo
- wasifu wa mwombaji
- mwombaji aandike namba ya simu
- barua zote ziandiwe kwa mkono

AJIRA
mwombaji atakaye fanikisha ataajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na muda ukiisha atapewa maelekezo kulingana na utendaji wake wa kazi na shirika la AGPAHI

mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 17/11/2017

maombi yatumwe kwa

MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU,
S.L.P 200,
MAGU

Related Posts:

  • NAFASI YA KAZI WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARAThe Tanzania Warehouse Licensing Board was established following the enactment of Warehouse Receipt Act. No.10 of 2005, by the Parliament of the United Republic of Tanzania. Objectives of the Board is to lead organization … Read More
  • Sales Manager, It Products & Services AdvertiserRK Impact Consulting Limited Location Dar es Salaam Job Category Sales Work Type Full Time Salary Not specified ABOUT THE COMPANY: Our client is a premier IT-Supplies provider in the UAE and East Africa, providi… Read More
  • NAFASI ZA KAZI BANDARINI- TANGA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Maombi yanakaribishwa kutoka kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zilizo tajwa hapa chini katika ajira ya mkataba usio kuwa na muda maalumu katika Bandari ya tanga. Nafasi hizo ni z… Read More
  • Supervisor/Assistant Floor Manager (IT) - Artee Group Positio:Sales Work Type: Full Time Salary: Not specified We are a leading conglomerate with our headquarters in Lagos Nigeria with business interest spanning in Retail,distribution,trading,manufacturing. We are wid… Read More
  • NAFASI ZA KAZI TANROAD KILIMANJARO | JOBS&TRAININGNAFASI ZA KAZI TANROAD KILIMANJARO | JOBS&TRAINING data-override-format="true" data-page-url = "http://tzjobposition.blogspot.com"> (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); marketing … Read More